Nenda kwa yaliyomo

Asia ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Asia ya Kati
Nchi za Asia ya Kati

Asia ya Kati ni eneo kubwa katikati ya bara la Asia. Kuna maelezo yanayotofautiana kati yao kuhusu eneo lenyewe.

Nchi zilizokuwa jamhuri za Umoja wa Kisovyeti

[hariri | hariri chanzo]

Mara nyingi nchi zifuatazo huhesabiwa humo:

Zote zilikuwa jamhuri za Umoja wa Kisovyeti.

UNESCO imeongeza pamoja na nchi tano hizo nchi zifuatazo:

Turkestan

[hariri | hariri chanzo]

Kihistoria eneo hili limeitwa mara nyingi kwa jina "Turkestan" kwa sababu ilikaliwa au inakaliwa hadi leo na watu wanaotumia lugha za Kiturki.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Asia ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.